kula kwa mkono wako wa kulia


قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: (( يا غلام، سمِّ اللهَ، وكُلْ بيمينك، وكُلْ مما يليك))

Mtume swallalahu alayhi wasalam alimuona mtoto mdogo ambaye alikuwa hajui taratibu za kula. Alimuambia, akiwa na lengo la kumfundisha, kwamba: «Ewe kijana, litaje jina la Allah (sema Bismillah) na kula kwa mkono wako wa kulia na kula sehemu ya chakula iliyopo mbele yako». 

(Bukhariy, Hadithi Na. 5061. Muslim, Hadithi Na. 2022)
Comments

Popular posts from this blog

8 Reasons You Should NEVER Drink Water While Standing