Zingatia mambo haya
🏮 MAMBO 3 YANALETA MARADHI KATIKA MWILI.
😄 1-Maneno mengi.
💤 2-Kulala saana.
🍧 3-Kula sana.
-------------------------------------
🏮 MAMBO 4 YANADHOOFISHA MWILI
💡1-Kufikiria sana.
🎈2-Kuhuzunika.
😂 3-Kukaa na njaa.
😱 4-Kukesha.
-------------------------------------
🏮 MAMBO 4 YANAFAFANYA
USO UWE NA BASHASHA .
👏1-Kumcha Allah.
💪2-Kujitosheleza.
👳3-Ukarimu.
😍4 - Uwe mtu Muruwa.
-------------------------------------
🏮 MAMBO 4 YANALETA RIZKI.
👤1-qiyamu ley.
😭2-Kukithirisha istighfar hasa wakati wa usiku sana.
🤝3-Kutekeleza ahadi.
📖4-kufanya adhkar mwanzo wa Siku na mwisho wa Siku.
-------------------------------------
🏮 MAMBO 4 YANAZUIA RIZKI.
💤1-Kulala wakati wa asubuhi.
🐖2-Kutoswali.
🙇3-Uvivu.
💀4.Kua na khiyana.
-------------------------------------
💡KILA UNAPOTAKA KUFANYA DHAMBI KUMBUKA AYA HIZI TATU.
📖- الم يعلم بأن الله يری"
📖-ولمن خاف مقام ربه جنتان"
📖-ومن يتقي الله يجعل له مخرجا"
-------------------------------------
UKIPENDEZEWA NA HAYA MANENO USIONE TABU KUMRUSHIA MWENZIO PINDI UNAPOMALIZA TU KUSOMA MAKALA HII.
Comments
Post a comment