Posts

Showing posts from June, 2020

DUA NZURI KABISA

Image
Dua nzuri kabisa by Rashid Ashukery

Famous Bollywood Actor Sushant committed Suicide

Image
Famous Bollywood Actor Sushant Singh committed Suicide due to Depression... By Doctor Zakir Naik 

Hakika hii Quran ndio muongozo wetu sahihi

Image
Hakika hii Quran ndio muongozo wetu sahihi By Sheikh Shaaban Al Battash 

Mjue Sheikh Ahmed Al-Khalili (Mufti wa Oman)

Image
Sheikh: Ahmed bin Hamed bin Suleiman Al-Khalili. Mwanachuoni mkubwa (mtaalamu),na bahari ya wino uliojaa elimu yeye ni ulimwengu kwa elimu yake. ALLAH amuhifadhi. Mwanachuoni mkubwa sheikh Ahmed bin Hamed bin Suleiman Al-khalili, ni mtu mwenye elimu anaejulikana ulimwenguni anatoka wilaya ya Bahla Oman katika mkoa wa Oman ndani. Yeye anatokana na uko wenye wema na fadhila na uwarabu safi. Baba yake alikuwa maarufu kwa wema wake na kumuogopa ALLAH, babu yake alikuwa kadhi (hakimu) wa mji wa Bahla. Baba yake alisafiri na kwenda huko Zanzibar (Afrika ya Mashariki). Na huko Zanzibar baba huyo akapata mtoto ambaye ni Sheikh Ahmed siku ya Jumatatu tarehe 12 Rajab 1361H inawafikia tarehe 27 July 1942. Baba yake akamlea malezi mema yenye fadhila na kupenda elimu ambayo imefanya mabadiliko makubwa katika maisha ya Sheikh baadaye. Alipokuwa mdodgo alijiunga katika vyuo vya kusomeshwa Qur'aan kwa muda wa miaka miwili akamaliza kusoma chuoni na umri wa miaka tisa hali ya kuwa amehi

Maneno ya Wenye hekima

Image
💞 أقْوَال ُ الحُكماَءِ  💞      📝MANENO YA  📝      WENYE HEKMA                💫{{  1004  }}💫                      ☆ وَافْعَلُوا خَيْرَاتِ ☆ NA FANYENI YALIYO MEMA✔        ______________🌹▪▪ ✍قَالَ أحَدُ مِنَ الحُكمَاءِ 📝Kasema mmoja  Mwenye HEKMA:' 📘 مَدُحُ النّاسِ لَكَ لَنْ يَدْخٌلَكَ الجَنّةَ   ✍ Kusifiwa na  Watu kwako haitokuingiza Peponi.(Ukajiona ndio umefuzu) 📕 وَذَمُّ النّاسِ لَكَ لَنْ يُخرِجَكَ مِنَ النار   ✍ Na kukusema vibaya Watu Haitokutowa wewe  Motoni.(Ukaona ndio umeokoka tena ). 📙 لِذَلكَ لاَ تكُنْ عَبْدًا لِأفوَاهِهِمْ ✍Kwa hivyo usiwe mtumwa kwa kusikiliza Midomo yao tu .(Na huna ulifanyalo na  kutenda yaliyomema ) ___________________🎊      📢☆ ZI NGATIA☆ 📝 Matendo Mema yenye Ikhlaas ndio yatakayokukingiza wewe kubaki Peponi Milele.  Allah anasema:- ( وَمَن يَأْتِهِ مُؤْمِنًا قَدْ عَمِلَ الصَّالِحَاتِ فَأُولَٰئِكَ لَهُمُ الدَّرَجَاتُ الْعُلَىٰ ) طـه (75) Taa-Haa

Umar Ibn Al-Khattab RA Sayings

Image
1. “The best way to defeat someone is to beat him at politeness.” Umar ibn Al-Khattab 2. “Do not grieve over what has passed unless it makes you work harder for what is about to come.” Umar ibn Al-Khattab 3. “Whosoever shows you your faults is your friend. Thos that pay you lip service in praise are your executioners.” Umar ibn Al-Khattab 4. “I have never regretted my silence, as for my speech I’ve regretted it many times.” Umar ibn Al-Khattab 5. “The less attachment to the world. The easier your life.” Umar ibn Al-Khattab 6. “Remind yourselves of Allah, for it is a cure. Do not remind yourselves of the people, for it is a disease.” Umar ibn Al-Khattab 7. “A man should be like a child with his wife, but if she needs him, he should act like a man.” Umar ibn Al-Khattab 8. “The most beloved of people to me is he that points out my flaws to me.” Umar ibn Al-Khattab 9. “Learn the Arabic language; it will sharpen your wisdom.” Umar ibn Al-Khattab 10. “Sit with those who love Alla

Kishk Amrarua Yule Aliyemtukana Mtume SAW

Image
Sheikh Nurdeen Kishk Amrarua Waziri Wa Zanzibar Aliyemtukana Mtume Muhammad Salalahu Alaihi Wasalam

Hekima ya kulingania

Image
Tazama sehemu ya tatu ya kipindi cha "Uislam kwa Macho yao" kwa lugha ya Kiswahili,  Anuani  yake:  Hekima katika kulingania Uislamu  Iliyowasilishwa na Sheikh: Rashid Al Shukairy  Mgeni wa kipindi: Sheikh: Saud Al Hashmi

Jua Kuishi na marafiki na maadui

Image
Jua Kuishi na marafiki na maadui By Othman Maalim

Ieasha Prime

Image
Ieasha Prime converted to Islam more than 20 years ago, after being an International Youth Ambassador to Morocco and Senegal.  It was during this time in her youth that she officially began studying Islam. The year she returned from the youth ambassador’s program, she took an Islamic Studies course at the Islamic Center in Washington D.C. from the professor and scholar Mohammad Arafat.  It was during this course, that Ms. Prime formally took Shahadah (profession of the Islamic faith).  Since that time, she has spent her life as an educator, artist, activist and entrepreneur committed to the goal of empowering Muslim women to rise above their challenges to maximize their full potential of being female servants of Allah and vicegerents on this earth.   After having participated in several circles of knowledge in the US, Ieasha decided to pursue religious studies abroad.  She studied Arabic, Quran at the Fajr Institute and general Islamic studies in other institutes in Cairo, Egypt.  Afte

Zingatia mambo haya

Image
🏮 MAMBO 3 YANALETA MARADHI KATIKA MWILI.  😄 1-Maneno mengi. 💤  2-Kulala saana. 🍧  3-Kula sana. ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANADHOOFISHA MWILI  💡1-Kufikiria sana. 🎈2-Kuhuzunika.  😂 3-Kukaa na njaa. 😱 4-Kukesha. ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANAFAFANYA  USO UWE NA BASHASHA . 👏1-Kumcha Allah.  💪2-Kujitosheleza. 👳3-Ukarimu.  😍4 - Uwe mtu Muruwa.  ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANALETA RIZKI. 👤1-qiyamu ley.  😭2-Kukithirisha istighfar hasa wakati wa usiku sana.  🤝3-Kutekeleza ahadi.  📖4-kufanya adhkar mwanzo wa Siku na mwisho wa Siku.  ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANAZUIA RIZKI.   💤1-Kulala wakati wa asubuhi.  🐖2-Kutoswali. 🙇3-Uvivu. 💀4.Kua na khiyana.  ------------------------------------- 💡KILA UNAPOTAKA KUFANYA DHAMBI KUMBUKA AYA HIZI TATU.  📖- الم يعلم بأن الله يری" 📖-ولمن خاف مقام ربه جنتان" 📖-ومن يتقي الله يجعل له مخرجا" ----------------------------------

Mambo 4 muhimu katika ndoa

Image