Jifunze kusoma na kuandika kwa khati za Kiarabu
📝 Jifunze kusoma na kuandika kwa khati za Kiarabu (kutumia Application hii) 📲
✏️ Kusoma na kuandika kwa khati za Kiarabu ni jambo jepesi.
🇹🇿 Alie fanya kitabu hichi ni Mzalendo wa Zanzibar, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani
🇴🇲 Na hii application imetengenezwa na Al-Asmi Oman
Comments
Post a comment