Application ya tafsiri ya Quran
📲 Application mpya ya Tafsiri ya Quran kwa Sauti.
Released on 20-04-2020
Sikiliza Surah zote za Quran na tafsiri yake kwa kiswahili.
Pia unaweza ku download Surah utakayo (In Sha Allah), Surah unazo zi download zinakwenda kwenye download folder ya simu yako, na baada ya ku download unaweza kusikiliza Surah hizo offline (bila ya internet) kwa kutumia audio player ya simu yako.
♻️ Application hii inapatika hapa kwenye Google play store 👇🏻
By Al-Asmi Apps
Comments
Post a comment