Wasiya 9 kutoka Surah Al-Hujurat kuhusu kuamiliana (kudili) na watu


1) Jiepusheni na dhana nyingi

2) Wala msipelelezane

3) msidharauliane

4) Wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi

5) Wala msivunjiane hishima

6) Wala msiitane kwa majina ya kejeli

7) Patanisheni

8) Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, *ichunguzeni*, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

9) Fanyeni uadilifu

Comments

Popular posts from this blog

Kisomo Cha Quran Tukufu