Ujira wa kumlisha maskini
أَبُو عُبَيْدَةَ قَالَ:
بَلَغَنِي عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«مَنْ أَطْعَمَ مُسْلِمًا ثَمَرَةً أَطْعَمَهُ اللَّهُ مِنْ ثِمَارِ الْجَنَّةِ، وَمَنْ سَقَاهُ جُرْعَةً سَقَاهُ اللَّهُ مِنَ الرَّحِيقِ الْمَخْتُومِ»
رواه الربيعُ ابن حبيْب
MAANA YAKE
Abu Ubaydah amesema:
Nimesimuliwa kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم amesema:
Atakaemlisha muislamu tunda (japo) moja; basi Allah atamlisha katika matunda ya peponi, na atakaemnywesha chubuo; basi Allah atamnywesha katika (chem chem ya peponi) Rahiiq Makhtuum”)).
Kaipokea Rabiu bin Habib
MAFUNZO YAKE
📜Tunapaswa kuwahurumia Wenzetu na kuwasaidia!!
📜Atakaemsadiya mwenzake maskini kwa chochote kile basi Allah atamlipa Siku ya Qiyama
✍ MTAARISHAJI NA:-
Humoud Hamed Al Rawahi
📞+96894646722:
📱📲:~ Facebook:
Sheikh Humoud AlRawaahiy
Comments
Post a comment