(Bi Idhni Allah Taalah) Asalam alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh, Kama unahisi maumivu sehemu yoyote Kwenye mwili wako, Soma hizi Dua: Weka mkono wako juu ya sehemu inapo uma kisha omba hivi: بسم الله ثلاثا ، وقل سبع مرات : أعوذ بعزة الله وقدرته من شر ما أجد وأحاذر Sema: Bismillah (mara 3) Kisha sema mara 7: A’udhu billahi wa qudratihi min sharri maa ajidu wa ‘uhaadhiru. ----------- Pia soma Dua hii: أَذْهِبْ الْبَاسَ رَبَّ النَّاسِ , وَاشْفِ أَنْتَ الشَّافِي , لا شِفَاءَ إِلا شِفَاؤُكَ شِفَاءً لا يُغَادِرُ سَقَمًا Adh'habil ba`sa rabbannas washfi anta shaafi la shifa`a illa shifauka shifa`an la yughadiru saqama. -‐------- Kisha msalie Mtume صلى الله عليه وسلم اللهم صل وسلم وبارك على نبينا محمد Allahuma Sal Wasalim Wabaarek Ala Nabiyna Muhammad. ------------- Ameen