Posts

Showing posts from 2020

Tumwabudu kwa sababu anastahiki kuabudiwa

Image

Umuhimu wa kilimo katika Uislam

Image
Wakulima wanakagua shamba lao - Oman
Kasema Allah mtukufu katika kitabu chake.

  وَآيَةٌ لَّهُمُ الْأَرْضُ الْمَيْتَةُ أَحْيَيْنَاهَا وَأَخْرَجْنَا
مِنْهَا حَبًّا فَمِنْهُ يَأْكُلُونَ 

وَجَعَلْنَا فِيهَا جَنَّاتٍ مِّن نَّخِيلٍ وَأَعْنَابٍ وَفَجَّرْنَا فِيهَا مِنَ الْعُيُونِ لِيَأْكُلُوا مِن ثَمَرِه وما عَمِلَتْهُ أَيْدِيهِمْ ۖ أَفَلَا يَشْكُرُونَ
Maana yake: 
_na ishara hiyo kwao - ardhi iliyo kufa, nasi tukaifufua, na tukatoa ndani yake nafaka, wakawa wanazil_
_na tukafanya ndani yake mabustani ya mitende na mizabibu, na tukatimbua chemchem ndani yake_.
_ili wale matunda yake, na hayo hayakufanywa na mikono yao! basi je, hawashukuru?_
Mafunzo yake
Neema nyingi zinatoka ardhini kwa kulima na kuipanda kila aina ya mbengu, hapo Allah sw anatupa habari au anatukumbusha neema ya ardhi tupate kushukuru, kwa kutufanyia mabstani ya kila aina  mizabibu ,mitende, pia chemchem zina chemka kila pande za dunia,ilitupate kula matunda yake alotujaalia Allah sw kwa hio ni juu yetu tulime hii aridhi ili …

kula kwa mkono wako wa kulia

Image
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: (( يا غلام، سمِّ اللهَ، وكُلْ بيمينك، وكُلْ مما يليك)) Mtume swallalahu alayhi wasalam alimuona mtoto mdogo ambaye alikuwa hajui taratibu za kula. Alimuambia, akiwa na lengo la kumfundisha, kwamba: «Ewe kijana, litaje jina la Allah (sema Bismillah) na kula kwa mkono wako wa kulia na kula sehemu ya chakula iliyopo mbele yako». 
(Bukhariy, Hadithi Na. 5061. Muslim, Hadithi Na. 2022)Why Pork is Haraam

Image
Why Pork is Haraam..  Doctor Zakir Naik best answer

Is it Permissible to Migrate to a Non Muslim Country for a Better Life? ...

Image
Is it Permissible to Migrate to a Non Muslim Country for a Better Life?

By Doctor Zakir Naik.

An American Christian convert to Islam because of a verse in the Bible that Christians hide from the world

Image
An American Christian convert to Islam because of a verse in the Bible that Christians hide from the worl... 

DUA NZURI KABISA

Image
Dua nzuri kabisa by Rashid Ashukery

Famous Bollywood Actor Sushant committed Suicide

Image
Famous Bollywood Actor Sushant Singh committed Suicide due to Depression...
By Doctor Zakir Naik

Hakika hii Quran ndio muongozo wetu sahihi

Image
Hakika hii Quran ndio muongozo wetu sahihi By Sheikh Shaaban Al Battash 

Mjue Sheikh Ahmed Al-Khalili (Mufti wa Oman)

Image
Sheikh: Ahmed bin Hamed bin Suleiman Al-Khalili. Mwanachuoni mkubwa (mtaalamu),na bahari ya wino uliojaa elimu yeye ni ulimwengu kwa elimu yake. ALLAH amuhifadhi.

Mwanachuoni mkubwa sheikh Ahmed bin Hamed bin Suleiman Al-khalili, ni mtu mwenye elimu anaejulikana ulimwenguni anatoka wilaya ya Bahla Oman katika mkoa wa Oman ndani. Yeye anatokana na uko wenye wema na fadhila na uwarabu safi. Baba yake alikuwa maarufu kwa wema wake na kumuogopa ALLAH, babu yake alikuwa kadhi (hakimu) wa mji wa Bahla. Baba yake alisafiri na kwenda huko Zanzibar (Afrika ya Mashariki). Na huko Zanzibar baba huyo akapata mtoto ambaye ni Sheikh Ahmed siku ya Jumatatu tarehe 12 Rajab 1361H inawafikia tarehe 27 July 1942. Baba yake akamlea malezi mema yenye fadhila na kupenda elimu ambayo imefanya mabadiliko makubwa katika maisha ya Sheikh baadaye. Alipokuwa mdodgo alijiunga katika vyuo vya kusomeshwa Qur'aan kwa muda wa miaka miwili akamaliza kusoma chuoni na umri wa miaka tisa hali ya kuwa amehifadhi kitabu…

Maneno ya Wenye hekima

Image
💞 أقْوَال ُ الحُكماَءِ  💞      📝MANENO YA  📝      WENYE HEKMA                💫{{  1004  }}💫            ☆ وَافْعَلُوا خَيْرَاتِ ☆ NA FANYENI YALIYO MEMA✔        ______________🌹▪▪
✍قَالَ أحَدُ مِنَ الحُكمَاءِ 📝Kasema mmoja  Mwenye HEKMA:'
📘 مَدُحُ النّاسِ لَكَ لَنْ يَدْخٌلَكَ الجَنّةَ
  ✍ Kusifiwa na  Watu kwako haitokuingiza Peponi.(Ukajiona ndio umefuzu)
📕 وَذَمُّ النّاسِ لَكَ لَنْ يُخرِجَكَ مِنَ النار
  ✍ Na kukusema vibaya Watu Haitokutowa wewe  Motoni.(Ukaona ndio umeokoka tena ).
📙 لِذَلكَ لاَ تكُنْ عَبْدًا لِأفوَاهِهِمْ
✍Kwa hivyo usiwe mtumwa kwa kusikiliza Midomo yao tu .(Na huna ulifanyalo na  kutenda yaliyomema )
___________________🎊
     📢☆ ZI NGATIA☆
📝 Matendo Mema yenye Ikhlaas ndio yatakayokukingiza wewe kubaki Peponi Milele.

 Allah anasema:-
( وَمَن يَأْتِهِ مُؤْمِنًا قَدْ عَمِلَ الصَّالِحَاتِ فَأُولَٰئِكَ لَهُمُ الدَّرَجَاتُ الْعُلَىٰ )
طـه (75) Taa-Haa
_Na atakaye mjia naye ni Muumini aliye tenda mema, basi hao ndio wenye vyeo vya juu._
📝 Matendo ya…

Umar Ibn Al-Khattab RA Sayings

Image
1. “The best way to defeat someone is to beat him at politeness.” Umar ibn Al-Khattab
2. “Do not grieve over what has passed unless it makes you work harder for what is about to come.” Umar ibn Al-Khattab
3. “Whosoever shows you your faults is your friend. Thos that pay you lip service in praise are your executioners.” Umar ibn Al-Khattab
4. “I have never regretted my silence, as for my speech I’ve regretted it many times.” Umar ibn Al-Khattab
5. “The less attachment to the world. The easier your life.” Umar ibn Al-Khattab
6. “Remind yourselves of Allah, for it is a cure. Do not remind yourselves of the people, for it is a disease.” Umar ibn Al-Khattab
7. “A man should be like a child with his wife, but if she needs him, he should act like a man.” Umar ibn Al-Khattab
8. “The most beloved of people to me is he that points out my flaws to me.” Umar ibn Al-Khattab
9. “Learn the Arabic language; it will sharpen your wisdom.” Umar ibn Al-Khattab
10. “Sit with those who love Allah, for that enlighte…

Kishk Amrarua Yule Aliyemtukana Mtume SAW

Image
Sheikh Nurdeen Kishk Amrarua Waziri Wa Zanzibar Aliyemtukana Mtume Muhammad Salalahu Alaihi Wasalam

Hekima ya kulingania

Image
Tazama sehemu ya tatu ya kipindi cha "Uislam kwa Macho yao" kwa lugha ya Kiswahili, 
Anuani  yake: Hekima katika kulingania Uislamu
 Iliyowasilishwa na Sheikh: Rashid Al Shukairy 
Mgeni wa kipindi: Sheikh: Saud Al Hashmi

Jua Kuishi na marafiki na maadui

Image
Jua Kuishi na marafiki na maadui By Othman Maalim

Ieasha Prime

Image
Ieasha Prime converted to Islam more than 20 years ago, after being an International Youth Ambassador to Morocco and Senegal.  It was during this time in her youth that she officially began studying Islam. The year she returned from the youth ambassador’s program, she took an Islamic Studies course at the Islamic Center in Washington D.C. from the professor and scholar Mohammad Arafat.  It was during this course, that Ms. Prime formally took Shahadah (profession of the Islamic faith).  Since that time, she has spent her life as an educator, artist, activist and entrepreneur committed to the goal of empowering Muslim women to rise above their challenges to maximize their full potential of being female servants of Allah and vicegerents on this earth.After having participated in several circles of knowledge in the US, Ieasha decided to pursue religious studies abroad.  She studied Arabic, Quran at the Fajr Institute and general Islamic studies in other institutes in Cairo, Egypt.  After …

Zingatia mambo haya

Image
🏮 MAMBO 3 YANALETA MARADHI KATIKA MWILI. 
😄 1-Maneno mengi. 💤 2-Kulala saana. 🍧 3-Kula sana. ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANADHOOFISHA MWILI 
💡1-Kufikiria sana. 🎈2-Kuhuzunika.  😂 3-Kukaa na njaa. 😱 4-Kukesha. ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANAFAFANYA  USO UWE NA BASHASHA .

👏1-Kumcha Allah.  💪2-Kujitosheleza. 👳3-Ukarimu.  😍4 - Uwe mtu Muruwa.  ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANALETA RIZKI.
👤1-qiyamu ley.  😭2-Kukithirisha istighfar hasa wakati wa usiku sana.  🤝3-Kutekeleza ahadi.  📖4-kufanya adhkar mwanzo wa Siku na mwisho wa Siku.  ------------------------------------- 🏮 MAMBO 4 YANAZUIA RIZKI. 💤1-Kulala wakati wa asubuhi.  🐖2-Kutoswali. 🙇3-Uvivu. 💀4.Kua na khiyana.  -------------------------------------
💡KILA UNAPOTAKA KUFANYA DHAMBI KUMBUKA AYA HIZI TATU. 
📖- الم يعلم بأن الله يری" 📖-ولمن خاف مقام ربه جنتان" 📖-ومن يتقي الله يجعل له مخرجا" ------------------------------------- UKIPENDEZEWA NA HAYA MANENO USIONE TABU KUMRUS…

Mambo 4 muhimu katika ndoa

Image

Jifunze kusoma na kuandika kwa khati za Kiarabu

Image
📝 Jifunze kusoma na kuandika kwa khati za Kiarabu (kutumia Application hii) 📲
✏️ Kusoma na kuandika kwa khati za Kiarabu ni jambo jepesi.
🇹🇿 Alie fanya kitabu hichi ni Mzalendo wa Zanzibar,  Sheikh Ali Muhsin Al Barwani
🇴🇲 Na hii application imetengenezwa na Al-Asmi Oman
Download hapa ↙️

FAIDA YA SADAKA

Image
🌹FAIDA YA SADAKA🌹
🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀
اسمعوا يا متصدقين انتم ومن يعمل لإيصال الصدقة 
🌹Sikilizeni kwa makini enyi mnaotowa sadaqah na anaefanya kazi  ya kuifikisha Sadaqah
1- الصدقة باب من أبواب الجنه
🌹Sadaqah ni mlango miongoni mwa milango ya  pepo
2- الصدقة أفضل الأعمال الصالحات وأفضل الصدقة إطعام الطعام. 
🌹Sadaqah ni moja katika amali njema zilokuwa bora mno na bora ya Sadaqah ni kulisha chakula
3- الصدقة تظل صاحبها يوم القيامة وتفك صاحبها من النار.
🌹Sadaqah humkingia kivuli aloitowa siku ya malipo na humuepusha  sahiba yake (mtoaji ) na adhabu ya moto 
4- الصدقة تطفيء غضب الرب وحر القبور.
🌹Sadaqah huzima ghadhabu au makasiriko ya mola
5- الصدقة خير ما يهدي للميت وأنفع ما تكون له ، ويربيها الله عز وجل.
🌹Sadaqah ni katika zawadi bora  huzawadiwa maiti na ni katika yanayomfaa na katika ayahitajiyayo na huibariki mola taala
6- الصدقة تطهير ، وتزكية للنفس ومضاعفة الحسنات.
🌹Sadaqah ni kujisafisha na kuitakasa  nafsi na ni kithirisho la hasanaat
7- الصدقة سبب سرور المتصدق ونضرة وجهه يوم القيامة. 
🌹…

Kuuaga mwezi wa Ramadhan

Image
Kuuaga mwezi wa ramadhan By Sheikh Yusuf Abd na Sheikh Rashid Ashukery

What exactly should be given by way of Zakat-ul-Fitr ?

Image
What exactly should be given by way of Zakat-ul-Fitr ? By Doctor Zakir Naik

Orodha ya wasomaji wa Quran

Image
📻 Sikiliza Quran Tukukufu masaa 24
Changua msomaji unayempenda hapa chini:
مكة المكرمةالمدينة المنورةالمصاحف المترجمةعادل الكلبانيعبدالمحسن القاسمعبدالرشيد صوفيعبد الودود حنيفعبد العزيز الأحمدعبد الباري الثبيتيعبد الباسط عبد الصمدعبدالله بصفرعبدالله خياطأبو بكر الشاطريأحمد الحواشيأحمد العجميالعيون الكوشيمحمود علي البنامحمود خليل الحصريعلي الحذيفيعلي جابرعبد المحسن العبيكانفارس عبادهاني الرفاعيإبراهيم الأخضرعماد زهيرجمال شاكرخالد عبدالكافي