Safisha moyo wako


اَلسَّلاَ مُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَا تُه

      T   A   F   A   K   A   R   I

  SAFISHA MOYO WAKO

```Usilaumu ulimi kwa kutoa maneno machafu, matusi na ya kashfa.

Ulimi huchafuka kwa kuchafuka moyo!

Moyo ni kisima na ulimi ni ndoo, na ndoo haiteki ipokua yale yaliomo kisimani, imma ni matamu ama ya chumvi!

 Ukimuona mtu anatukana sana na kukashifu sana, basi ujue huyo moyo wake ni mchafu !
Holy Quran 3:118```
------------------
بَدَتِ الْبَغْضَاءُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ وَمَا تُخْفِي صُدُورُهُمْ أَكْبَرُ ۚ قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ الْآيَاتِ ۖ إِن كُنتُمْ تَعْقِلُو
Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yaliyofichikana katika vifua [nyoyo]  zao  ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.         T A F A K A R I❗

 مدرسة محمد ﷺ 

Comments

Popular posts from this blog

8 Reasons You Should NEVER Drink Water While Standing