Posts

Showing posts from 2018

OTHMAN MAALIM...VITIMBI VIBAYA VYA WANAFIQ

Image

The Quran or The Bible Which is God's Word ? Sheikh Ahmed Deedat at New ...

Image

OTHMAN MAALIM...IHSAN KATIKA UISLAM

Image

Quran: 103. Surah Al-Asr

Image

TABIA NJEMA - KIPOZEO

Image

VIPI UTACHUMA NYOYO ZA WATU

Image

Sala ya Dhuha

Image
Sala ya dhuha ni katika Sala ya Sunna iliyothibiti kutoka kwa Mtume S.A.W. Kasema Ummu Haani bint Abi Talib, ﺻَﻠَّﻰ ﺭَﺳُﻮﻝُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺻَﻠَّﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﻭَﺳَﻠَّﻢَ في بيتى صلاة ﺍﻟﻀُّﺤَﻰ ثماني ركعات ملتحفا في ثوب واحد. Maana yake, "Alisali Mtume wa Mwenyezi Mungu S.A.W nyumbani kwangu Sala ya dhuha rakaa nane, huku amejifunika nguo moja." WAKATI WA SALA YA DHUHA NA IDADI YA RAKAA ZAKE. Wakati wa Sala ya dhuha unaanza baada ya kupanda kwa jua kwa dakika kumi na mbili hivi, na unamalizika kwa kuwepo kwa jua katikati ya mbingu, na kila ikicheleweshwa ni bora zaidi. Kasema Zaid ibn Arqam, "Mtume wa Mwenyezi Mungu S.A.W alikwenda Quba na akawakuta watu wanasali Sala ya Dhuha akawaambia, ﺻَﻠَﺎﺓُ ﺍﻟْﺄَﻭَّﺍﺑِﻴﻦَ ﺣِﻴﻦَ ﺗَﺮْﻣَﺾُ ﺍﻟْﻔِﺼَﺎﻝُ. Maana yake; "Sala ya wanao rejea kwa Mwenyezi Mungu inasaliwa wakati watoto wa ngamia wanapochomwa na joto jua." Na sala hii inasaliwa kuanzia rakaa mbili na kuendelea kufuatana na uwezo wa mt

Today's Hadith is about Pledges

Image
Narrated Jarir bin Abdullah (RA): I gave the pledge of allegiance to Allah's Messenger (peace be upon him) for the following: 1. Offer prayers perfectly 2. Pay the Zakat (obligatory charity) 3. And be sincere and true to every Muslim.  (Sahih al-Bukhari, Vol. 1, Book 2, Hadith 50)

Safisha moyo wako

Image
اَلسَّلاَ مُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَا تُه       T   A   F   A   K   A   R   I   SAFISHA MOYO WAKO ```Usilaumu ulimi kwa kutoa maneno machafu, matusi na ya kashfa. Ulimi huchafuka kwa kuchafuka moyo! Moyo ni kisima na ulimi ni ndoo, na ndoo haiteki ipokua yale yaliomo kisimani, imma ni matamu ama ya chumvi!  Ukimuona mtu anatukana sana na kukashifu sana, basi ujue huyo moyo wake ni mchafu ! Holy Quran 3:118``` ------------------ بَدَتِ الْبَغْضَاءُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ وَمَا تُخْفِي صُدُورُهُمْ أَكْبَرُ ۚ قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ الْآيَاتِ ۖ إِن كُنتُمْ تَعْقِلُو Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yaliyofichikana katika vifua [nyoyo]  zao  ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.          T A F A K A R I❗  مدرسة محمد ﷺ 

Things To Ponder Upon

You say: I'm a failure Allah says: The Believers are successful (Surah Al-Mu'minoon: 1) You say: It’s too difficult Allah says: “With every difficulty there is ease (Surah Inshiraah: 6) You say: No one can help me Allah says: ...it's upon Us to help the believers (Surah Ar-Rum: 47) You say: No one is with me Allah says: No doubt I'm with you! (Surah Taha: 46) You say: I'm too sinful Allah says: He loves those who repent (Surah Al-Baqarah: 222) You say: The religion is too hard Allah says: He wants ease for you (Surah Al-Baqarah: 185) You say: I don't have much Allah says: For those who believe and do righteous deeds is a generous provision. (Surah Al-Hajj: 50) You say: I'm always sick Allah says: ...We've sent down the Quraan as a healing (Surah Al-Israa: 82) You say: I'm overburdened Allah says: Allaah will not burden a soul more than it can bear (Surah Al-Baqarah: 286) You say

John Magufuli Marry two or more women to reduce prostitution

Image
John Magufuli Marry two or more women to reduce prostitution among ladies - Magufuli to Tanzanian men. He said men who will heed to his plea will receive 'small incentives' from the government Tanzanian President John Magufuli has urged men in his country to marry two or more women in a bid to curb prostitution among Tanzanian Women. Magufuli said a lot of unmarried women are being forced to commit adultery with other people’s husbands due to 'lack of men to marry.' MAGUFULI HAS AN INGENIOUS WAY OF FIGHTING PROSTITUTION Tanzanian President John Magufuli » moreMagufuli said a lot of unmarried women are being forced to commit adultery with other people’s husbands due to 'lack of men to marry.' He decried the high number of women in Tanzania which according to him stands at 40 million compared to 30 million men. “I am not forcing you, but just encouraging you to marry two or more wives to reduce on women staying without husbands”, the head-o

Wanaume na Wanawake wanaojihifadhi Tupu zao

DARSA YA KWANZA Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allahu 'anhu): Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Aina mbili za watu wa motoni siwaoni; Watu ambao wana fimbo (mijeledi) kama za mkia wa ng'ombe dume ambazo wanawapigia watu, na wanawake ambao wamevaa lakini wako uchi, wanawashawishi wanaume wawatongoze, na wanaelekea kwao (kwa kuwa warahisi). Vichwa vyao kama nundu za ngamia zinazoyumba. Hawataingia Peponi wala hawatasikia harufu yake ingawa harufu yake inaweza kunuswa kutoka masafa kadhaa na kadhaa)) [Muslim]   Hadiyth hiyo ya Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) inatudhihirikia uhakika wake kwani tunawaona dada zetu wengi wakidhani kuwa wamevaa mavazi ya hijaab na hali hawakutimiza hijab ya sheria inavyopasa. Utamuona mwanamke amejifunika kichwa tu lakini mwili wake wote haukusitirika kutokana na mavazi aliyovaa. Hivyo hudhani kuwa hijaab hasa ina maana ya kujifunika nywele pekee. Basi hebu tutaje hapa hijaab ya Kiislamu inayo

VIAPO NA  AHKAAM ZAKE

🔵🔴🔵🔴🔵🔴🔵🔴🔵 Amesema Allah subhaanahu wata'alaa, ktk surati Almaaida aya (89) لَا يُؤَاخِذُكُمُ اللَّهُ بِاللَّغْوِ فِي أيْمَانِكُمْ وَلَٰكِنْ يُؤَاخِذُكُمْ بِمَا عَقَّدْتُمُ الْأَيْمَانَ ۖ فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِمَسَاكِينَ مِنْ أَوْسَطِ مَا تُطْعِمُونَ أَهْلِيكُمْ أَوْ كِسْوَتُهُمْ أَوْ تَحْرِيرُ رَقَبَةٍ ۖ فَمَنْ لَمْ يَجِدْ فَصِيَامُ ثَلَاثَةِ أَيَّامٍ ۚ ذَٰلِكَ كَفَّارَةُ أَيْمَانِكُمْ إِذَا حَلَفْتُمْ ۚ وَاحْفَظُوا أَيْمَانَكُمْ ۚ كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ آيَاتِهِ لَعَلَّكُمْ تَشْكُرُون 89 📓 MAANA  YAKE 📓 ((_Mwenyezi Mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, lakini atakushikeni kwa mnavyo apa kweli kweli kwa makusudio. Basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa. Asiye pata hayo, basi afunge siku tatu. Hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa. Na hifadhini yamini zenu. Namna hivyo Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake ili mpate kushukuru_)) 📓 MAFUNZO

Usiache Salaa

Image