Posts

Showing posts from October, 2017

Je unamjua huyu?

Alikosa raha ulipougua! alikasirika ulipoonewa, alikaa na njaa ili wewe ushibe na kufurahi. Alihakikisha halali mpaka wewe ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kuonana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ila ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU.   (MPENDE SAANA MAMA) AKIWA HAI MLIWAZE NA KAMA AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA KWA ALLAH. Tuma ujumbe kwa watu ili kuwakumbusha umuhimu wa MAMA.!!!!

Faida za sadaka

Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya mpokeaji..   -ibn alqayyim Je unajua faida ya kutoa sadaka? Sikilizeni enyi watoa sadaka, nyinyi na ambao wanasaidia kufikisha sadaka.. 1- Sadaka ni mlango miongoni mwa milango ya pepo 2-Sadaka ni bora ya matendo mema, na sadaka bora ni kulisha chakula 3- Sadaka inamfunika kivuli mtoaji na inamuondosha kwenye moto 4-Sadaka inazima ghadhabu za Mola na joto la kaburi 5- Sadaka ni jambo bora la kumzawadia maiti na inamfaa zaidi, na Mola anaitunza 6-Sadaka ni usafisho, na utakaso wa nafsi na huongeza mema 7- Sadaka ni sababu ya furaha kwa mtoa, na ni sababu ya kung'ara uso wake siku ya kiama 8- Sadaka inaleta amani kutokana na hofu siku ya fazaa kubwa, na humfanya mtoa sadaka asipatwe na huzuni 9- Sadaka ni sababu ya kughufiriwa dhambi na kusamehewa makosa 10- Sadaka ni miongoni mwa bish

Hadith

Today's Hadith is about Compassion Abu Hurairah narrated that the Messenger of Allah (peace be upon him) said: "The Muslim is the brother to the Muslim, he does not cheat him, lie to him, nor deceive him. All of the Muslim is unlawful to another Muslim: His Honor, his wealth, and his blood. At-taqwa is here. It is enough evil for a man that he be little his brother Muslim." (Jami` at-Tirmidhi, Vol. 4, Book 27, Hadith 33) Thank-you for reading and have a great day   Kind Regards

10 hadiths concerning the environment

Did the Prophet (peace and blssings be upon him) say anything about saving our planet? Did he promote any ideas or practices relevant to the world's growing concern about the future of the earth and its resources? Today, with the increasing awareness of the dangers facing our planet and the great interest in green ideas, a reflection on the guidance of the Prophet in this area proves helpful and relevant. What is distinctive about the Prophet's approach to environmental issues is the connection he establishes between green practices and the Hereafter reward, which represents for Muslims an incentive greater than any worldly gain or reward and, as a result, prompts a greater care for the earth and more effort to conserve its resources. Below is a collection of the Prophet's hadiths that, although said 14 centuries ago, are so relevant today. The green ideas are not novel, they are as old and well established as the religion of Islam is. Plant a tree even if it is your la

Fadhila za Subra Katika Qur-aan

Subira imetajwa katika Qur-aan mara nyingi mno kama walivyonukuu Maulamaa. Wengine wamesema kwamba imetajwa zaidi ya mara themanini kwa kusifiwa wale wenye kuvumilia mitihani inayowasibu. Ama kwa ujumla, subira imetajwa katika Qur-aan zaidi ya mara mia. Zifuatazo ni baadhi ya fadhila za subira katika Qur-aan: 1.       Wenye kusubiri hupata mapenzi ya Allaah (سبحانه وتعالى). ((وَاللّهُ يُحِبُّ الصَّابِرِينَ)) ((…na Allaah Anawapenda wanaosubiri))[Aal-‘Imraan: 146] 2.       Allaah (سبحانه وتعالى) Yu pamoja nao daima: ((إِنَّ اللّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ)) ((….hakika Allaah Yu Pamoja na wanaosubiri)) [Al-Anfaal: 46] 3.       Allaah (سبحانه وتعالى) Amewajumuishia mambo matatu ya bishara njema; Baraka [na maghfirah], Rehma Yake (سبحانه وتعالى), na uongofu. ((وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوفْ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الأَمَوَالِ وَالأنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ )) ((الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُم مُّصِيبَةٌ قَالُواْ إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)