Dunia
﴿ ﺑِﺴْﻢِ ﺍﻟﻠﻪِ ﺍﻟﺮَّﺣْﻤﻦِ ﺍﻟﺮَّﺣِﻴﻢِ ﴾ 💎Maneno ya Dhahabu💎 (23) 🌍 WAKISHINDANA KWA DUNIA, SHINDANA NAO KWA AKHERA 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 إذا رأيت الناس يتنافسون في الدنيا فنافسهم في الآخرة _Ukiwaona watu wanashindana kwa kuitafuta dunia, Basi washinde kwa kuitafuta na kuikimbilia akhera._ Allah ﷻ anasema: {وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَعِبٌ وَلَهْوٌ ۖ وَلَلدَّارُ الْآخِرَةُ خَيْرٌ لِلَّذِينَ يَتَّقُونَ ۗ أَفَلَا تَعْقِلُونَ} ```Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?``` 🌎DUNIA NI MAPITO TU: فإنما تذهب دنياهم وتبقى الآخرة. ```Kwa hakika na bila shaka wala si vinginevyo, dunia yao itaondoka na akhera itabakia daima``` Allah ﷻ anasema: {وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ} ```Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.``` (Al aalaa 17) ■ FANYA WINGI WA KUKUMBUKA MAUTI ما ألزم عبد قلبه ذكر الموت إلا صغرت الدنيا عليه. _Hawi mja mwenye kuu