Posts

Showing posts from 2017

Umuhimu wa subra

Image

Je unamjua huyu?

Alikosa raha ulipougua! alikasirika ulipoonewa, alikaa na njaa ili wewe ushibe na kufurahi. Alihakikisha halali mpaka wewe ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kuonana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ila ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU.   (MPENDE SAANA MAMA) AKIWA HAI MLIWAZE NA KAMA AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA KWA ALLAH. Tuma ujumbe kwa watu ili kuwakumbusha umuhimu wa MAMA.!!!!

Faida za sadaka

Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya mpokeaji..   -ibn alqayyim Je unajua faida ya kutoa sadaka? Sikilizeni enyi watoa sadaka, nyinyi na ambao wanasaidia kufikisha sadaka.. 1- Sadaka ni mlango miongoni mwa milango ya pepo 2-Sadaka ni bora ya matendo mema, na sadaka bora ni kulisha chakula 3- Sadaka inamfunika kivuli mtoaji na inamuondosha kwenye moto 4-Sadaka inazima ghadhabu za Mola na joto la kaburi 5- Sadaka ni jambo bora la kumzawadia maiti na inamfaa zaidi, na Mola anaitunza 6-Sadaka ni usafisho, na utakaso wa nafsi na huongeza mema 7- Sadaka ni sababu ya furaha kwa mtoa, na ni sababu ya kung'ara uso wake siku ya kiama 8- Sadaka inaleta amani kutokana na hofu siku ya fazaa kubwa, na humfanya mtoa sadaka asipatwe na huzuni 9- Sadaka ni sababu ya kughufiriwa dhambi na kusamehewa makosa 10- Sadaka ni miongoni mwa bish

Hadith

Today's Hadith is about Compassion Abu Hurairah narrated that the Messenger of Allah (peace be upon him) said: "The Muslim is the brother to the Muslim, he does not cheat him, lie to him, nor deceive him. All of the Muslim is unlawful to another Muslim: His Honor, his wealth, and his blood. At-taqwa is here. It is enough evil for a man that he be little his brother Muslim." (Jami` at-Tirmidhi, Vol. 4, Book 27, Hadith 33) Thank-you for reading and have a great day   Kind Regards

10 hadiths concerning the environment

Did the Prophet (peace and blssings be upon him) say anything about saving our planet? Did he promote any ideas or practices relevant to the world's growing concern about the future of the earth and its resources? Today, with the increasing awareness of the dangers facing our planet and the great interest in green ideas, a reflection on the guidance of the Prophet in this area proves helpful and relevant. What is distinctive about the Prophet's approach to environmental issues is the connection he establishes between green practices and the Hereafter reward, which represents for Muslims an incentive greater than any worldly gain or reward and, as a result, prompts a greater care for the earth and more effort to conserve its resources. Below is a collection of the Prophet's hadiths that, although said 14 centuries ago, are so relevant today. The green ideas are not novel, they are as old and well established as the religion of Islam is. Plant a tree even if it is your la

Fadhila za Subra Katika Qur-aan

Subira imetajwa katika Qur-aan mara nyingi mno kama walivyonukuu Maulamaa. Wengine wamesema kwamba imetajwa zaidi ya mara themanini kwa kusifiwa wale wenye kuvumilia mitihani inayowasibu. Ama kwa ujumla, subira imetajwa katika Qur-aan zaidi ya mara mia. Zifuatazo ni baadhi ya fadhila za subira katika Qur-aan: 1.       Wenye kusubiri hupata mapenzi ya Allaah (سبحانه وتعالى). ((وَاللّهُ يُحِبُّ الصَّابِرِينَ)) ((…na Allaah Anawapenda wanaosubiri))[Aal-‘Imraan: 146] 2.       Allaah (سبحانه وتعالى) Yu pamoja nao daima: ((إِنَّ اللّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ)) ((….hakika Allaah Yu Pamoja na wanaosubiri)) [Al-Anfaal: 46] 3.       Allaah (سبحانه وتعالى) Amewajumuishia mambo matatu ya bishara njema; Baraka [na maghfirah], Rehma Yake (سبحانه وتعالى), na uongofu. ((وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوفْ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الأَمَوَالِ وَالأنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ )) ((الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُم مُّصِيبَةٌ قَالُواْ إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)

Dunia

﴿ ﺑِﺴْﻢِ ﺍﻟﻠﻪِ ﺍﻟﺮَّﺣْﻤﻦِ ﺍﻟﺮَّﺣِﻴﻢِ ﴾ 💎Maneno ya Dhahabu💎                      (23)    🌍 WAKISHINDANA KWA DUNIA, SHINDANA NAO KWA AKHERA 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 إذا رأيت الناس يتنافسون في الدنيا فنافسهم في الآخرة _Ukiwaona watu wanashindana kwa kuitafuta dunia, Basi washinde kwa kuitafuta na kuikimbilia akhera._ Allah  ﷻ anasema: {وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَعِبٌ وَلَهْوٌ ۖ وَلَلدَّارُ الْآخِرَةُ خَيْرٌ لِلَّذِينَ يَتَّقُونَ ۗ أَفَلَا تَعْقِلُونَ} ```Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?``` 🌎DUNIA NI MAPITO TU: فإنما تذهب دنياهم وتبقى الآخرة. ```Kwa hakika na bila shaka wala si vinginevyo, dunia yao itaondoka na akhera itabakia daima``` Allah  ﷻ anasema: {وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ} ```Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.```       (Al aalaa 17) ■ FANYA WINGI WA KUKUMBUKA MAUTI ما ألزم عبد قلبه ذكر الموت إلا صغرت الدنيا عليه. _Hawi mja mwenye kuu

Leo nawashauri wanamme

EWE MWANAMME....... 1). Mwanamke si ruler iliyonyooka kwamba hakosei, bali anapokosea adhabu yake si ngumi bali ni mawaidha. 2). Usihuzunike mkeo hapendezi au hanukii hali ya kuwa hujanunua nguo wala perfume ,wewe ndiye ulaumiwe. 3). Usifichue udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mkeo, naye ni mlinzi wako. 4). Usimkataze mkeo kushika simu yako baada ya kuita kwa kuiwahi wewe kabla hajaona anayekupigia, unachokichukulia tahadhari kikigundulika ndoa yenu itapata mitikisiko. 5). Usiogope kuchekwa kwa kumsaidia mkeo shughuli za ndani, mke si mtumwa isipokuwa ni msaada kwako. 6). Usipendepende kusifu wanawake wengine mbele yake, hujui maisha yao halisi yalivyo. Ukiibomoa hadhi yake, upendo wake kwako utashuka. 7). Usimgombeshe mkeo kwa kutoweza kupika vyakula unavyovipenda ,kwao hakukua na chuo cha upishi alipika kulingana na kinachopatikana, bora ni kumfundisha. 8). Usimpe mtu mwingine fursa ya kumhudumia mkeo, watu wanawaweza kufanya mambo m

Tabasam:usihuzunike

Image

SWALI

Je ni kweli  ina thibiti kuwa: Mwenye kumjulisha muisilaamu kuwa Ramadhani itaanza lini basi atasamehewa madhambi yake, na kuingia peponi bila ya hesabu? السؤال: هل حقا ثبت أنه: من دل مسلما على يوم يبدأ فيه شهر رمضان بأنه يغفر له ذنوبه، ويدخل الجنة بغير حساب؟ 📖📖📖📖📖📖📖📖📖📖📖       📘JAWABU الجواب 📘 ➡Muisilaamu anatakiwa kuwa mkweli katika kauli zake na vitendo vyake vyote المسلم يؤمر أن يكون صادقا في أقواله وأفعاله كلها. ➡Mwezi wa Ramadhani unakuwa kwa mujibu wa kuandama kwa mwezi na kuonekana kwake. شهر رمضان يكون على حسب ميلاد الهلال ورؤيته. ➡Na wala hakuna katika Sunna fadhila za kumuambia mtu tarehe ambayo itakuwa ndio mwanzo wa mwezi wa Ramadhani. فليس في السنة أي فضل ورد في فضل إخبار شخص عن التاريخ الذي يكون فيه بداية شهر رمضان. ➡Na maelezo hayo yanaonyesha wazi uongo walio zusha hao waongo wenye kumzushia Mtume s.a.w mambo ambayo hakuyasema. وهذا الكلام يدل على كذب أحدثه أؤلئك الكذابون، الذين افتروا على رسول الله صلى الله عليه وسلم ما لم يقله. ➡Na miongoni m

Sikiliza Quran Tukufu masaa 24

Image
Visomo Vya Quran tukufu kupitia wasomaji maarufu duniani. Unaweza kuchagua msomaji unayemtaka. Allah akubariki. ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 1- Mahir Almu'aiqili ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ ▂▂ 2- Nasir Al-qatami ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 3- Yasir Al-Dausary ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 4- Faris Abbad ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 5- Sa'ad Al-Gamidi ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 6- Khalid Al-Julail ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 7- Abdulbasit Abdus Samad ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 8- Mahmud Khalil Alhusary ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 9- Muhammad Siddiq Al-Minshawy ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 10- Muhammad At-Tiblawy ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 11- Mishary Al-Afasy ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ ▂ 12-Su'ud Al-Shuraim ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 13- Abdurrahman As-Sudais ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 14- Abdallah Aljuhany ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 15- Ahmad Al-Ajami ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 16- Salah Al-Budair ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 17- Hani Ar-Rifa'iy ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 18- Khalid Al-Qahtany ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 19- Abubakar As-Shatiry ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 20- Ali Jabir ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 21- Muhammad Ayyub ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 22- Taufiq As-Sayig ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂ 23- Abdulwadud Haneef ▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂

ZINAA

Anasema Allaah: “Wala msikurubie zinaa hakika hiyo (zinaa) ni uchafu (mkubwa) na ni njia mbaya (kabisa).”  Israa: 32 Anasema Allaah Akiwakataza waja Wake zinaa na kutoikaribia. Kutoka kwa Ibn ‘Umar amesema, amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam): “Zinaa inarithisha umaskini (Ufakiri), dhiki katika rizki, na maradhi mengi ni adhabu kwa ajili ya zinaa.

8 Reasons You Should NEVER Drink Water While Standing

Image
It is not just about drinking 8 glasses of water a day to stay healthy and hydrated.  It matters in what position you have the water. Do you sit and drink water, or normally have it in passing, while standing? Some experts have uncovered that it is no old wives tale when the elders in the family ask you to sit down and then gulp your water. In fact, it is a gem of an advise that you had better heed to for a healthy living. "To make the most of the water we drink it is advised to sit down and have it in small sips than glug it down in a rush while standing. Here are some shocking scientific reasons that tell you the difference it makes to your body when you have your water standing as opposed to sitting down. 1. Standing and drinking water can cause arthritis This may come as a greater shock to you if you have been in a practice of drinking water in a standing position, for you may well be affected by arthritis later in life. By drinking water standing you disrupt t

Applications zetu za simu

Application zetu zinapatikana: HAPA