Posts

Showing posts from October, 2016

Kisa cha Nabii Musa AS na kuangamizwa na Firauni

Image

Abdullah Ashueli Books

Vitabu vya Abdallah Ashueli Download hapa

Umoja ni nguvu

Image
NITAPIGANIA UMOJA WETU MPAKA PUMZI YA MWISHO tuone yanayotukusanya يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ حَقَّ تُقَاتِهِ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنْتُمْ مُسْلِمُون Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni Waislamu. وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا ۚ وَاذْكُرُوا نِعْمَتَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ إِذْ كُنْتُمْ أَعْدَاءً فَأَلَّفَ بَيْنَ قُلُوبِكُمْ فَأَصْبَحْتُمْ بِنِعْمَتِهِ إِخْوَانًا وَكُنْتُمْ عَلَىٰ شَفَا حُفْرَةٍ مِنَ النَّارِ فَأَنْقَذَكُمْ مِنْهَا ۗ كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ آيَاتِهِ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka. وَلَا تَكُونُوا كَالَّ

Mwaka mpya, nguvu mpya

Image
Mambo ambayo Tunatakiwa Kujiepusha Nayo katika maisha yaliyobakia; 1-Kumshirikisha Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kama kufanya uchawi, kuwaendea waganga, watabiri, kutufu makaburini, na mengineyo ya shirki 2-Kuzini 3-Kulewa 4-Kuiba na kumdhulumu mtu haki yake 5-Kugombana, kutukanana, kuvunjiana heshima, kudharauliana n.k. Kusengenya (Ghiybah). Tv-Kusema uongo, na kila aina ya uovu mwengine. Mambo ambayo Tunatakiwa Kuzidisha Kutenda; 1- Swalaah na Swalaah za Sunna. 2-Kufunga Swawm Jumatatu na Alkhamiys, Masiku meupe (Ayyaamul-biydhw) (tarehe 13, 14 na 15) na Swawm ya Nabiy   Daawuwd (kufunga kila baada ya siku moja). 3-Kutafuta ‘ilmu ya Dini kwa kusoma na kusikiliza mawaidha. 4-Kuomba maghfirah na kutubia (tawbah). 5-Kumdhukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwa wingi kwa tasbiyh (Subhaana Allaah), tahmiyd (AlhamduliLLaah) tahliyl (laa ilaaha illa Allaah takbiyr (Allaahu Akbar). 6-kusoma Qur-aan, kumshukuru na kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu &#