Posts

DUA WAKATI WA KUFUTURU

Image
Inapendeza aliefunga wakati wa kufuturu kuomba dua, kwani wakati wa kufuturu ni wakati ambao dua hazirudishwi hujibiwa, na zinakubaliwa haraka. Hadithi ya Abdallah bin Umar bin Aas R.A.A. kasema, “Kasema Mtume S.A.W., [1] “ إِنَّ لِلصَّائِمِ عِنْدَ فِطْرِهِ لَدَعْوَةً مَا تُرَدُّ. Maana yake, “Kwa yule aliefunga wakati wa kufuturu dua yake hairudishwi”. Na imethibiti kutoka kwa Mtume S.A.W. kwamba alikuwa akiomba dua wakati wa kufuturu. Hadithi ya Marwan bin Salim kasema, “Kasema Ibn Umar R.A.A., “Mtume S.A.W. wakati wa kufuturu alikuwa akisema,[2]“ ذَهَبَ الظَّمَأُ وَابْتَلَّتِ الْعُرُوقُ وَثَبَتَ الْأَجْرُ إِنْ شَاءَ اللَّهُ. Dhahaba dhama`u wabtallatil- uruuqu, wa thabata l`ajru in sha Allah. Maana yake, “Kiu kimeondoka, na mishipa imerowana, na ujira utapatikana Mungu akipenda.” Pia hadithi nyingine iliyo hadithiwa na Mua`dh bin Zuhrah kasema, “Mtume S.A.W. alikuwa akisema wakati wa kufuturu,[3] “ اللَّهُمَّ لَكَ صُمْتُ وَعَلَى رِزْقِكَ أَفْطَرْتُ. Allahumma laka sumtu

Dhikrillah

Image

109 Sultan Of Zanzibar pictures and images

Image
 

Misikiti yote ni ya Allah

Image

Nasiha Muhimu

Image

Dua ya pamoja ya Sheikh Ahmed Al Khalili

Image
Link ya dua ya pamoja ya Sheikh Ahmed Al Khalili leo jioni saa 4:30 (time ya Muscat), In Sha Allah.  Link ya Twitter bonyeza hapa  ...   Link ya youtube bonyeza Hapa  ..  Sambaza ukiweza, na malipo ni yako, In Sha Allah