Go Back   Sekenke Forums. > Ukumbi wa Sekenke > Uliza suala la dini.

Reply
 
Thread Tools Search this Thread Display Modes
Old 11-21-2008, 12:45 AM   #1
Mordiy
Master
 
Mordiy's Avatar
 
Join Date: Oct 2008
Posts: 1,288
Default MAAJABU SABA YA DUNIA

SWALI:
Asalaam Alaikum Warahmatulhaahi Wabarakaatuhu, mimi sijambo [ Al Hamdulillaah] kama nanyi hamjambo viongozi wetu wa Dini ya kweli basi ni kheri. Naomba msaada mnijibu.
1. Maajabu matano ya Dunia.

JIBU:
Shukrani zote anastahiki Allah, Mola Mlezi wa viumbe vyote. Pia shukrani ni kwa ndugu zetu kwa kaka na dada zetu wanaouliza maswali na kaka yetu huyu ambaye ameuliza haya maswali takriban tisa
1. Swali la kwanza:
Vitu ambavyo vinajulikana kuwa ni maajabu ya dunia ni saba kwa mujibu wa wataalamu wasiokuwa Waislamu. Maajabu yote haya ni katika majengo yaliyotengenezwa na watu katika zama tofauti. Orodha hii ambayo tunaiandika, wametofautiana sana watu kwayo kwani vigezo ambavyo vinatumika havieleweki na hata na wenyewe walioviweka, hivyo kila kikundi au mtu ana orodha yake kulingana na muono wao/wake. Vile vinavyojulikana ni kama vifuatavyo:

1.The Great Pyramid ya Giza aliyozikwa Mfalme Khufu.
2. The Hanging Gardens ya Babeli (Babilon) huko Iraq, yaliyotengenezwa na Mfalme Nebuchadnezzar II.
3 The Statue (sanamu) ya Zeus huko Olympia, Greece.
4. The Temple (Hekalu) la Artemis huko Ephesus.
5.The Mausoleum (kaburi lililojengewa) la Mfalme Maussollos wa Ufursi (Iran) huko Halicarnassus.
6.The Collossus huko Rhodes, bandari ya Wayunani katika kisiwa cha Mediterenia.
7.The Lighthouse (Nyumba ya mwangaza) huko Alexandria.
Wengine wamesema Taj Mahal ambayo ipo Agra huko India ni miongoni mwa maajabu ya dunia. Ukiangalia vitu vyote hivi vinavyosemekana ni maajabu havina asili yoyote na Uislamu wala Waislamu, hivyo ni jambo ambalo hatufai kujishughulisha nalo na kupoteza wakati mwingi.
Wa Allaahu A'aalam
__________________
Engineer Muhammad Saleh Bin-3ubadiy
Mordiy is offline   Reply With Quote
Reply

Thread Tools Search this Thread
Search this Thread:

Advanced Search
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Forum Jump

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Maajabu yaliyo nitokea kwa kusoma Ayat Qurusii Mkolon Hoja mchanganyiko. 6 07-16-2011 08:08 PM
Maajabu ya quraan Mahmoud Videos 3 06-03-2011 01:10 AM
Hakika huyu ni mtu wa maajabu! Mahmoud Videos 3 03-23-2010 10:02 PM
Mashimo Saba ya ajabu. Mahmoud Picha 1 05-05-2009 04:48 PM
MAAJABU YA MAJI YA ZAMZAM Mordiy Ukumbi wa Dini 4 03-04-2009 01:08 AM


All times are GMT +4. The time now is 05:05 PM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2016, Jelsoft Enterprises Ltd. Mahmoud Al-Asmi